" Tumia SkySchool kutatua changamoto zote zinazohusu elimu , Shule , walimu , wanafunzi , wazazi ... Soma zaidi

Login / Ingia
SkySchool
4-Mar

Invite kids at office and look how they can use technology to learn some digitalized content . It make us happy than any moment . This innovation may change on how technology can be useful even for low income families .

 • John Zedone 6-Mar

  salut

 • Mathias Mkuna 5-Mar

  that is greater

 • Elisha William 4-Mar

  I real like a photo.

 • Bertha Landu 4-Mar

  Together we can, nice

SkySchool
27-Feb

Hatua kwa hatua tunazidi kuwafikia , shuleni na nyumbani . Kusoma kwa kutumia Teknolojia ni zaidi ya kujifunza , kukuza uelewa na kuburudika pia .

 • Michael Zacharia 28-Feb

  nzuri

 • Tanzania Yetu 28-Feb

  Shida nakosa sehemu ya setting ya profile langu mfano kufuta akaunti na mengine mengi

 • Enock Sindikwi 27-Feb

  hongereni jamanu

 • Bertha Landu 27-Feb

  nice

 • SkySchool 27-Feb

  Ndio Joyce , tunafanya kazi kwa bidii kufika nchi nzima .

SkySchool
25-Feb

Katika kuboresha Elimu kwa kutumia Teknolojia Timu yetu imewekeza nguvu kubwa sana katika mifumo ya Elimu , Watoto hawa wanatumia Tablets kusoma hata wakiwa nyumbani wanaweza kusoma, kufanya mitiani.

 • Alphonce Navaya 27-Feb

  safi sana kazi nzuri

 • Joyce Dawati 27-Feb

  Safi sana hii ni hatua nzuri.

 • Bertha Landu 25-Feb

  Much interesting\

SkySchool
2-Nov

El-Shaddai tumewafikia .Hongera kwa kila aliyekuwepo. SkySchool Teknolojia shuleni .

 • Bertha Landu 4-Nov

  Asante sana

 • Enock Sindikwi 4-Nov

  hongereni sana mungu awatie nguvu

 • Bertha Landu 2-Nov

  hakika timu hii inajitahidi kutatua changamoto za jamii.

SkySchool
2-Nov

Shule ya Merriwa High School imechagua matumizi ya Tehama . Pongezi kwa waalimu na Uongozi wa shule .

 • Glory Chuwa 2-Nov

  Hongereni sana

 • John Mgabo 2-Nov

  Ongeleni sana

 • Bertha Landu 2-Nov

  hongereni sana kwa kuenda na tekinolojia

 • 2daysky Msaada 2-Nov

  hongereni sana shule ya merriwa kwakupiga hatu kubwa sana kuweza kuingi katika tehama maana saiz ni digital naimani umekuja kusaidi matatizo na changamoto za ki elimu

 • Wilfred Koshuma 2-Nov

  Tunashukuru sana

SkySchool
2-Nov

Vifaa vya kitehama kama vishikwambi (tablets ) vinaweza kutumika mashuleni , timu yetu itajitahidi kuleta pale vitakapohitajika

 • Glory Chuwa 2-Nov

  Awww team ya 2daysky siyo ya mchezo pongezi kwenu mnazidi kurahisisha mambo h

 • Imani Soko 2-Nov

  ok kwanza napenda kuipongeza team nzima ya 2daysky kwa ujmla kuweza kutatua changamoto za kielimu kwa njia ya tehama

 • Elisha William 2-Nov

  Pongezi kwa timu nzima ya SkySchool nafurahi sana kwa utendajikazi huu